CAROL ANANDE-Videos

Welcome to my scrap book archive of videos, karibu uchungulie mikanda niliyosagula sagula, manake nimekuwa mbovu wa kujinasa kwenye mkanda. I am working to keep adding more. Karibu...This was one was in May 31st 2016 at Red Monkey Lodge in ZNZ. It was a jam session so everything materialised on stage prior to any rehearsal...

videoMkanda huu, ulichukuliwa kwenye jukwaa la 'Lyricist Lounge', Oktober mwaka 2014, nikiwa na Jean Batiste anayejulikana kama JB. 

videoThis was taken at SOMA in Dar es Salaam on the 20th of June'16. Where there was a celebration of women in our liberation history. So I aptly performed the poem 'Awomen Amen' by Moi

videoHaka ka mkanda, kalichukuliwa na mwalimu wangu wa kwanza kwenye ngoma, Chief Twaba. Ilikuwa haraka haraka tu, ila nikiwa naimba na huyu mwanamziki 'Norman Bikaka' huwa najiskia nyumbani... 

video

4 comments:

 1. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
  Replies
  1. This comment has been removed by the author.

   Delete
 2. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 3. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete